Knowledge

Mavazi ya wanarita yanawafananisha na watawa kabisa. Mungu awalinde na kuwatunza daima wanarita wote na atujalie mafanikio katika safari ya imani.

Hapo ni parokia ya Yesu Kristo Mfalme Sengerema Mwanza wanarita walikuwa wanasimikwa rasmi na kupewa mavazi hayo wanawake kwa wanaume pamoja na watoto pia wanavalia vile vile ili kuwajengea watoto wadogo msingi mzuri wa kumfuata Kristo kupitia maombezi ya Mt. Rita wa Kashia, Mavazi ya wanarita yanawafananisha na watawa kabisa. Mungu awalinde na kuwatunza daima wanarita wote na atujalie mafanikio katika safari ya imani.

"During these 40 days, let me put away all my pride. Let me change my heart and give up all that is not good within me. Let me love God with all that I am and all that I have." —Genesis Grain.